Skip to main content

Posts

PaParaTsi.

Niaje niaje morio anzenza, Wake wenza wako utawapata nyanza, Wacha tu niku inform, saiIzi jua iko tropics of cancer, Saa usishinde ukiuliza penye baridi inatoka, we tafuta enye utaweka kwa meza, Maisha yetu si maswali saa usishinde ukitafuta answer. We tupange tu ukidhani hatujui kujipanga, Manh! Hii safari ni yangu si yetu, utajuaje, maybe me ndo makanga, We ukidhani tunapost juu ya kung'ara na shuka za kanga, kumbe sisi tunapost survival instincts za kanga, Maybe unaluck iyo green energy from jaba na karanga, Usizidiwe, bado hujanyakua ticket ya games of hunger, Sipigangi luku ndo mni look, Ni vile tu attention zenu huwanga nimehook, Na izo vitabu zenu nishazisoma, summary nko nayo kwa hand book, Me ndo chief chef Hapa Menu zenu already nishazicook, Saa mbona unaniitisha race na tuko highway? Hata kama tunaenda wote umoja, Hatuwezi kuwa line moja by the way, Na si eti nini, usiniletee vioja, I don't judge you, maybe mahakamani ndo watakujudge the right way. We ukidhani tuko V...

A Cent With a Bill.

mwili wako unaikunja kama millipede, utadhani uko na stampede, pupa mingi, game ni tiki taka tu kwa field, na siezi penda ubleed, nitakutandaza, utaniitisha tena tu ukiplead, mazao ikiwa kwa wingi utadai tena tu kubreed. Wao wao utachorea vako zao, Wao ukuja wa pili me ndo fao, Yani mm ndo mwalimu wao wa mao, Si eti najichocha tukutane kwa grao, Aha ka olunga nitawapea attrick, mbili na bao, Nitawakulia madem wao na izo mathao zao. Sikuizi i don't chase, sina makali, Nyazi haiwezi umia bila mafahali, Inasemekana me ndo kusema na si tafadhali, Haifai nikusihi ndo unipee, nitakupigania afadhali, Sina ulofa lakini Nina mali. I don't need a park ndo nikuwe alpha,  mimi mwenyewe ni game changer, Ninawareserve kama game park full of ranger,  Moshi yangu haichoke inachinja, Na nikiwa high me utuliza munches na ginger. Size ya musle haionyeshi uzito ya hustle, Siezi kuwa na fancy cars ndo  nikuwe rich, labda i fancy castle, Brain tulipewa lakini usipokuwa rada,...