mwili wako unaikunja kama millipede, utadhani uko na stampede, pupa mingi, game ni tiki taka tu kwa field, na siezi penda ubleed, nitakutandaza, utaniitisha tena tu ukiplead, mazao ikiwa kwa wingi utadai tena tu kubreed. Wao wao utachorea vako zao, Wao ukuja wa pili me ndo fao, Yani mm ndo mwalimu wao wa mao, Si eti najichocha tukutane kwa grao, Aha ka olunga nitawapea attrick, mbili na bao, Nitawakulia madem wao na izo mathao zao. Sikuizi i don't chase, sina makali, Nyazi haiwezi umia bila mafahali, Inasemekana me ndo kusema na si tafadhali, Haifai nikusihi ndo unipee, nitakupigania afadhali, Sina ulofa lakini Nina mali. I don't need a park ndo nikuwe alpha, mimi mwenyewe ni game changer, Ninawareserve kama game park full of ranger, Moshi yangu haichoke inachinja, Na nikiwa high me utuliza munches na ginger. Size ya musle haionyeshi uzito ya hustle, Siezi kuwa na fancy cars ndo nikuwe rich, labda i fancy castle, Brain tulipewa lakini usipokuwa rada,...