Niaje niaje morio anzenza, Wake wenza wako utawapata nyanza, Wacha tu niku inform, saiIzi jua iko tropics of cancer, Saa usishinde ukiuliza penye baridi inatoka, we tafuta enye utaweka kwa meza, Maisha yetu si maswali saa usishinde ukitafuta answer. We tupange tu ukidhani hatujui kujipanga, Manh! Hii safari ni yangu si yetu, utajuaje, maybe me ndo makanga, We ukidhani tunapost juu ya kung'ara na shuka za kanga, kumbe sisi tunapost survival instincts za kanga, Maybe unaluck iyo green energy from jaba na karanga, Usizidiwe, bado hujanyakua ticket ya games of hunger, Sipigangi luku ndo mni look, Ni vile tu attention zenu huwanga nimehook, Na izo vitabu zenu nishazisoma, summary nko nayo kwa hand book, Me ndo chief chef Hapa Menu zenu already nishazicook, Saa mbona unaniitisha race na tuko highway? Hata kama tunaenda wote umoja, Hatuwezi kuwa line moja by the way, Na si eti nini, usiniletee vioja, I don't judge you, maybe mahakamani ndo watakujudge the right way. We ukidhani tuko V...