Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2023

Mr. Sluggard!

  Ata kama kuna rain, me bado na reign, Kwani si mind stain,nina crown 👑 juu ya paint ya pain, Bado na maintain lane, sitaki abel ani-cain, Juu nilikuwa among the chain, But rhythm yangu nko nayo kwa brain, usijiite bad boy mbele ya villain. Sikuizi wanapeana pleasure time ya leisure, Wanaifanya kama hobby, hakuna time ya ku measure, Wako kwa izo kwa mashimo, nikama wanasaka treasure, Eti hakuna kulala mwenyewe kama slasher, Chunga, usikose hewa uko shimo la tewa juu ya pressure, Kwani sacrifice ni mob, blessings inakam kwa bahasha. Wajakoyah anamanifest change, through snake farming, Amesahau uku ni nyasi, kuna nyoka wengi, Vipers around, wanatoa kichwa kama wiper, Ready to bite but hawana iyo sumu, enye itawafanya wakuwe hyper, Baana, wakikuonyesha wamemea makucha, remind them, we ndo uko na clippers, Tuna sip sip, kidogo kidogo tuna slip in, kama mguu kwa slippers, Wanawashwa na m@fi, ebu wabadilishie diapers, Ata yesu, alijipa distance akitibu the 10 lepers, ...

Stand Hard-standard

  Am here stuck with no luck but i got hack, penye niko, siko mwenyewe i got my back, Napata intel juu ya intelligence, na bado i got  excellence in black, Days inapita haraka hadi siezi mark days dark, Wenye vibe negative siezi waweka juu kuna vitu wana lack, Kuchachisha si lazima kwani mwenye mbwa si mwenye anabark. Tao, dem wako anabebwa na wenye voucher, Ocha, bado atakam kwako na nyama enye imetoka kwa butcher, Teacher hawezi kuambia uko na kichaa, Akili kichwani, ni usikanishe nayo ama wacha, Sawa, Si lazima waku-kubali juu hauna picha, Pengine uko na sababu yako, kuificha. Kama we ni wa nidhamu,ata wa damu anaweza kuku-dhulumu, Mkono ni ya gum na ako na hamu, Ama tuseme hamu yake haina gamu, Ambatanisha ginger na garlic ama pili pili iko na saumu ? Enyewe engine haiwezi toka bila gurudumu,😅 Na wakitoka ? hawawezi pin,but location ni humu humu. Imagine, eti wenye hawapendi "RAW" ndo wako na uso-ro, Kwa uso hawana tint, but wanapeana hint kwa wakoro, ...