Glass tunaraise juu, juu ya blessings, Thoughts mingi tunapunguza na tot, Totally, we give thanks for the toast, We are here for plus, ukinipiga minus naku-roast. Boss ,si boast, lakini siezi loose juu sina host. Wengi wanadai lottery iko saudi, but i find alot in arabica, Store yangu imejaa, jars full of liquor,but siezi waka, Usitie shaka juu nimefika, hakuna haja ya kunisaka, Roro ni Goat, lakini matata ya number saba imepewa saka, Kwani tofauti ya saa na masaa ni madakika. Sikuhizi watoto wa hawa ndo wako idhaa ya kahawa, Lakini hawawezi itisha rounds, juu adamu ndo ako na dawa, Wanasema wasikupate na wapoa wao, hadi unaeza dhani hauko sawa, kumbe mlevi ndo u-elewa, Mwambie with current the settingz, kidole kimoja inaezewa uwa chawa, Kaza kamba ya oxygen, wasikupimie ma-hewa, Mapema ndio best, aiiiii mimi nita-make appearance kama nimechelewa. Pupa pia tunapunguza na mangoma ya fally, Aha, kuumia kwa nyazi inatakikana mafahali, We lala wakati watu hawa-lali, was...