Skip to main content

A Cent With a Bill.

mwili wako unaikunja kama millipede,
utadhani uko na stampede,
pupa mingi, game ni tiki taka tu kwa field,
na siezi penda ubleed,
nitakutandaza, utaniitisha tena tu ukiplead,
mazao ikiwa kwa wingi utadai tena tu kubreed.


Wao wao utachorea vako zao,
Wao ukuja wa pili me ndo fao,
Yani mm ndo mwalimu wao wa mao,
Si eti najichocha tukutane kwa grao,
Aha ka olunga nitawapea attrick, mbili na bao,
Nitawakulia madem wao na izo mathao zao.


Sikuizi i don't chase, sina makali,
Nyazi haiwezi umia bila mafahali,
Inasemekana me ndo kusema na si tafadhali,
Haifai nikusihi ndo unipee, nitakupigania afadhali,
Sina ulofa lakini Nina mali.


I don't need a park ndo nikuwe alpha,  mimi mwenyewe ni game changer,
Ninawareserve kama game park full of ranger, 
Moshi yangu haichoke inachinja,
Na nikiwa high me utuliza munches na ginger.


Size ya musle haionyeshi uzito ya hustle,
Siezi kuwa na fancy cars ndo  nikuwe rich, labda i fancy castle,
Brain tulipewa lakini usipokuwa rada, utapimiwa na ratili ya brittle,
Wengine waki settle bill ya kettle, wengine wana settle bill ya fatal,
Be safe hakuna tofauti ya a beautiful Girl na petal,
These days ukitaka a genuine Rose petal, itabidi umejoin the field of battle.


Me i wonder a growing business ukuwanga illegal,
Goverment bado inatax sme's na rate enye si legal,
Sikuizi hakuna vicious circle of poverty, tunazungukia pale pale by force of centrifegal,
Hakuna siku People watakuwa equal,
Kupenya in this life inafaa ukuwe na an eye of an eagle,
Take Caution ama ata utashindwa kupitisha uzi, kwa shimo ya needle.
#KDJ 
#VibingVerbally...


Comments

Popular posts from this blog

Mr. Sluggard!

  Ata kama kuna rain, me bado na reign, Kwani si mind stain,nina crown 👑 juu ya paint ya pain, Bado na maintain lane, sitaki abel ani-cain, Juu nilikuwa among the chain, But rhythm yangu nko nayo kwa brain, usijiite bad boy mbele ya villain. Sikuizi wanapeana pleasure time ya leisure, Wanaifanya kama hobby, hakuna time ya ku measure, Wako kwa izo kwa mashimo, nikama wanasaka treasure, Eti hakuna kulala mwenyewe kama slasher, Chunga, usikose hewa uko shimo la tewa juu ya pressure, Kwani sacrifice ni mob, blessings inakam kwa bahasha. Wajakoyah anamanifest change, through snake farming, Amesahau uku ni nyasi, kuna nyoka wengi, Vipers around, wanatoa kichwa kama wiper, Ready to bite but hawana iyo sumu, enye itawafanya wakuwe hyper, Baana, wakikuonyesha wamemea makucha, remind them, we ndo uko na clippers, Tuna sip sip, kidogo kidogo tuna slip in, kama mguu kwa slippers, Wanawashwa na m@fi, ebu wabadilishie diapers, Ata yesu, alijipa distance akitibu the 10 lepers, ...

CoFFee

Glass tunaraise juu, juu ya blessings, Thoughts mingi tunapunguza na tot, Totally, we give thanks for the toast, We are here for plus, ukinipiga minus naku-roast. Boss ,si boast, lakini siezi  loose juu sina host. Wengi wanadai lottery iko saudi, but i find alot in arabica, Store yangu imejaa, jars full of liquor,but siezi waka, Usitie shaka juu nimefika, hakuna haja ya kunisaka, Roro ni Goat, lakini matata ya number saba imepewa saka, Kwani tofauti ya saa na masaa ni madakika. Sikuhizi watoto wa hawa ndo wako idhaa ya kahawa, Lakini hawawezi itisha rounds, juu adamu ndo ako na dawa, Wanasema wasikupate na wapoa wao, hadi unaeza dhani hauko sawa, kumbe mlevi ndo u-elewa, Mwambie with current the settingz, kidole kimoja inaezewa uwa chawa, Kaza kamba ya oxygen, wasikupimie ma-hewa, Mapema ndio best, aiiiii mimi nita-make appearance kama nimechelewa. Pupa pia tunapunguza na mangoma ya fally, Aha, kuumia kwa nyazi inatakikana mafahali, We lala wakati watu hawa-lali, was...

Stand Hard-standard

  Am here stuck with no luck but i got hack, penye niko, siko mwenyewe i got my back, Napata intel juu ya intelligence, na bado i got  excellence in black, Days inapita haraka hadi siezi mark days dark, Wenye vibe negative siezi waweka juu kuna vitu wana lack, Kuchachisha si lazima kwani mwenye mbwa si mwenye anabark. Tao, dem wako anabebwa na wenye voucher, Ocha, bado atakam kwako na nyama enye imetoka kwa butcher, Teacher hawezi kuambia uko na kichaa, Akili kichwani, ni usikanishe nayo ama wacha, Sawa, Si lazima waku-kubali juu hauna picha, Pengine uko na sababu yako, kuificha. Kama we ni wa nidhamu,ata wa damu anaweza kuku-dhulumu, Mkono ni ya gum na ako na hamu, Ama tuseme hamu yake haina gamu, Ambatanisha ginger na garlic ama pili pili iko na saumu ? Enyewe engine haiwezi toka bila gurudumu,😅 Na wakitoka ? hawawezi pin,but location ni humu humu. Imagine, eti wenye hawapendi "RAW" ndo wako na uso-ro, Kwa uso hawana tint, but wanapeana hint kwa wakoro, ...