Glass tunaraise juu, juu ya blessings,
Thoughts mingi tunapunguza na tot,
Totally, we give thanks for the toast,
We are here for plus, ukinipiga minus naku-roast.
Boss ,si boast, lakini siezi loose juu sina host.
Wengi wanadai lottery iko saudi, but i find alot in arabica,
Store yangu imejaa, jars full of liquor,but siezi waka,
Usitie shaka juu nimefika, hakuna haja ya kunisaka,
Roro ni Goat, lakini matata ya number saba imepewa saka,
Kwani tofauti ya saa na masaa ni madakika.
Sikuhizi watoto wa hawa ndo wako idhaa ya kahawa,
Lakini hawawezi itisha rounds, juu adamu ndo ako na dawa,
Wanasema wasikupate na wapoa wao, hadi unaeza dhani hauko sawa, kumbe mlevi ndo u-elewa,
Mwambie with current the settingz, kidole kimoja inaezewa uwa chawa,
Kaza kamba ya oxygen, wasikupimie ma-hewa,
Mapema ndio best, aiiiii mimi nita-make appearance kama nimechelewa.
Pupa pia tunapunguza na mangoma ya fally,
Aha, kuumia kwa nyazi inatakikana mafahali,
We lala wakati watu hawa-lali, wasika zao halali,
Chalii, Peleka pole pole utapata wako wa geti-kali,
Iyo kesi si ya baadae, tuko na wakili,
Sause yetu ni ya tomato lakini iko na chilly,
Weather isikufanye u-chill, nitakuserve na souse juu bill yetu inalipwa mara mbili mbili.
Boyz amevaa durag, anadai apewe hug,
Watu wana-chase bag, boyz ana-chase hug,
Dawg, usijione G sana, kuna wenye wana-own Wagon na hawa-brag,
Usikuwe dragged na drug, bado tu utachota maji na jug,
Ziggy isikufanye uchore zig zag, iyo Zaga hautawezana nayo labda ukuwe na tag.
Night life inataka support ya supplement,
No wonder ni ngumu kukesha bila motive kama element,
Ata Usiku sacco wana-make move after maombi ya achievement,
Kama hautaki kurudi misri, itabidi umejiamini ndo u-avoid story na predicament.
Piga makofi kama wewe ni fun wa koffi,😅
Baana, ngoma za olamide zinaraise bars kwa jockey,
Oflate Choco has been my recipe, my recipients wandelea kuraise eye brows na toffee,
Hints sikuhizi inapewa na tropical mints, lakini kwa wale wakorofi,
Still tunaenda shule tukilipa fee but vitu tumelearn ni experience at a no fee,
Kutenda inaambatana na kusema,lakini bado kwa kuongea Tuko goofy.
#KDJ
#VibingVerbally...
Great,,,piece 😊
ReplyDeleteThank you😊
ReplyDelete