Am here stuck with no luck but i got hack,
penye niko, siko mwenyewe i got my back,
Napata intel juu ya intelligence, na bado i got excellence in black,
Days inapita haraka hadi siezi mark days dark,
Wenye vibe negative siezi waweka juu kuna vitu wana lack,
Kuchachisha si lazima kwani mwenye mbwa si mwenye anabark.
Tao, dem wako anabebwa na wenye voucher,
Ocha, bado atakam kwako na nyama enye imetoka kwa butcher,
Teacher hawezi kuambia uko na kichaa,
Akili kichwani, ni usikanishe nayo ama wacha,
Sawa, Si lazima waku-kubali juu hauna picha,
Pengine uko na sababu yako, kuificha.
Kama we ni wa nidhamu,ata wa damu anaweza kuku-dhulumu,
Mkono ni ya gum na ako na hamu,
Ama tuseme hamu yake haina gamu,
Ambatanisha ginger na garlic ama pili pili iko na saumu ?
Enyewe engine haiwezi toka bila gurudumu,π
Na wakitoka ? hawawezi pin,but location ni humu humu.
Imagine, eti wenye hawapendi "RAW" ndo wako na uso-ro,
Kwa uso hawana tint, but wanapeana hint kwa wakoro,
Wanaongelea bonus juu wako na sto-ro,
Lazima tujue nani anajua , Goal-Goal lakini wasi-draw,
Dem anadai um-uchoke na hajui uko magode choke,
Anadai uandike na pen, inabidi unachora na choka,
Pale kwa locker, ako locked waki-choke her,
Ukichoka itabidi ume pull out na akiteta itabidi umemtoka.
Sikuizi, watu wa hawamind virusi chronic, bora wao wakue more erotic,
Mtu anawachwa on seen, kwa scene, juu ako na blue balls anasema hamind blue tick,
Mdem hadai mwenye ni fun wake, na hataki kuonyesha yeye ni fanatic,
Jamaa anataka fun, rounds ni four, for fantastic,
Kwani yeye ni bull, red eye na ako more energetic,
Relationship si mutual lakini kuna mwenye ana benefit kwa iyo symbiotic,
Uku rende ni wrong, loan kwa wingi hadi tuko isotonic,
Cell imejazwa na Subaru ya mbaru, lakini hawana know wamebeba ma-lunatic,
Nduru man amesaidia wengi kama wao, kwani sikuizi nduru si chaotic.
Wengi wanawashwa, kuenda vasha,
Penye vibe ni ya kukata na kuwasha,
Plan imeletwa na clan ya anasa,
Subaru boyz watagharamika, kama tu washa nasa,
Management inachange very fast na wenye wana own zero mile age,
Its so ironical unalipia dowry na kuna mwenye analisha na silage,
Usizoeshe madem chipo, wakati hawasosi iyo sausage.
#KDJ
#VibingVerbally...
Its very educational and i think this should go to ladiesπππ its more obout this gender
ReplyDeleteπ π π noted
ReplyDelete