Ata kama kuna rain, me bado na reign,
Kwani si mind stain,nina crown 👑 juu ya paint ya pain,
Bado na maintain lane, sitaki abel ani-cain,
Juu nilikuwa among the chain,
But rhythm yangu nko nayo kwa brain, usijiite bad boy mbele ya villain.
Sikuizi wanapeana pleasure time ya leisure,
Wanaifanya kama hobby, hakuna time ya ku measure,
Wako kwa izo kwa mashimo, nikama wanasaka treasure,
Eti hakuna kulala mwenyewe kama slasher,
Chunga, usikose hewa uko shimo la tewa juu ya pressure,
Kwani sacrifice ni mob, blessings inakam kwa bahasha.
Wajakoyah anamanifest change, through snake farming,
Amesahau uku ni nyasi, kuna nyoka wengi,
Vipers around, wanatoa kichwa kama wiper,
Ready to bite but hawana iyo sumu, enye itawafanya wakuwe hyper,
Baana, wakikuonyesha wamemea makucha, remind them, we ndo uko na clippers,
Tuna sip sip, kidogo kidogo tuna slip in, kama mguu kwa slippers,
Wanawashwa na m@fi, ebu wabadilishie diapers,
Ata yesu, alijipa distance akitibu the 10 lepers,
Najua washasema mimi ni red flag,
Labda Material ni safi ndo maana its alarming,
Wako na warning zangu, lakini bado nawa-plug,
Sockets imejaa charger, lakini sisi tuko na power in banking,
Boyz ana-brag juu ako matembe, wakati wengine wanaigharamia kama starehe.
Bad man hana dior but bado ame drip,
Kwa bypass time ya jam, bado anawasha kwa trip,
Bad gyal hana pesa but haimanishi she is cheap,
Niiki alisema she will support his dreams, she is for keeps,
We endelea ku beep ukitafutana, uyu barbie, yeye anamind vile tunaenda deep,
Bado tunafunga mabao, bado pia sisi ma goal keepers.
#KDJ
#VibingVerbally...
Dope❤❤
ReplyDeleteMuch appreciation
ReplyDelete